Ruka hadi maudhui makuu

Mzigo wako uko wapi?

Karibu Shigaka Luxury. Weka namba ya kumbukumbu iliyo kwenye SMS au risiti yako, uone mzigo umefika wapi kati ya Dar es Salaam na Geita.

Namba ya kumbukumbu iko kama SGK264HPA. Tulikutumia kwa SMS ulipokabidhi mzigo.

Dar es Salaam hadi Geita, kwenda na kurudi

  1. Dar es Salaam
  2. Morogoro
  3. Dodoma
  4. Singida
  5. Nzega
  6. Kahama
  7. Geita
Ona vituo vyote 20

Jinsi ya kufuatilia

  1. Pokea SMS

    Mzigo unapopokelewa, tunakutumia namba ya kumbukumbu kwa SMS. Ipo pia kwenye risiti yako.

  2. Weka namba

    Andika namba ya kumbukumbu hapa uone kama mzigo umesajiliwa, uko safarini, umefika au umekabidhiwa.

  3. Fuatilia mzigo

    Mtumaji au mpokeaji anaweza kufungua maelezo kamili kwa namba tunayotuma kwa SMS.

Unahitaji msaada kuhusu mzigo? Wasiliana nasi

Piga simu ofisini

Unatuma mzigo, unachukua, au una swali? Gusa ofisi upige simu.

Mzigo ukifika, mpokeaji anatumiwa SMS. Aje ofisini na namba aliyotumiwa kwenye SMS hiyo achukue mzigo.

Unasafiri nasi? Tovuti hii ni ya mizigo tu. Kwa tiketi za abiria, piga simu ofisini au tumia njia rasmi za Shigaka Luxury za kukata tiketi.